Ukianguka, inuka tena ~ with Belindabebe Lifard

20/01/2025 26 min Temporada 2 Episodio 55
Ukianguka, inuka tena ~ with Belindabebe Lifard

Listen "Ukianguka, inuka tena ~ with Belindabebe Lifard"

Episode Synopsis

Watu wengi huwa wanajiwekea malengo na mipango ya kuboresha maisha yao ya kila siku. Katika safari hii ya kuboresha maisha, kuna kujikwaa na muda mwingine kuanguka, kinacholeta tofauti kati ya waliofanikiwa na ambao hawajafanikiwa ni kutokukata tamaa pale mtu anavyoanguka, wengine hubaki hapo hapo alipoanguka na wengine huinuka na kusonga mbele. Katika episode hii, tunakumbushana kutokukata tamaa pale unapoanguka, inuka tena na anza upya au endelea ulipoishia ila usibaki pale ulipoanguka.