UJIO MPYA WA INSTAGRAM

11/12/2016 3 min
UJIO MPYA WA INSTAGRAM

Listen "UJIO MPYA WA INSTAGRAM"

Episode Synopsis

Instagram imeleta maboresho mapya ambayo yanamfanya mtumiaji wake kuweza kukoment ndani ya comment na kulike coment, vilevile nakuweza kuremove follower wako pamoja na kutoa jumbe ya comment katika posti yako