MSALABA

MSALABA

Por: Benjamin Abel
Katika mfululizo huu wa "MSALABA", Mwl. Benjamin Abel anafunua nguvu, maana, na kazi kamili ya Yesu Kristo msalabani. Sehemu hii ya kwanza inatufundisha kwa nini msalaba ni msingi wa wokovu wetu na kwa nini neema inaanzia hapo.📖 1 Wakorintho 1:18 — “Kwa maana neno la msalaba kwao wanaopotea ni upuzi...”Ujumbe huu utakuimarisha, utakurejesha, na kukujenga katika misingi ya kweli ya imani.
1 episodios disponibles

Latest episodes of the podcast MSALABA

MSALABA 01 17/07/2025