MAFUNDISHO YA MTUME PAULO

MAFUNDISHO YA MTUME PAULO

Por: Gwakisa Mwaipopo
Mtume Paulo alikabiliana na changamoto kubwa za kiutamaduni kati ya Uyahudi na Urumi—lakini aliwezaje kusimamia utofauti huu bila kupoteza ujumbe wa Kristo? Katika episode hii, tunachunguza:✅ Mgongano wa sheria za Kiyahudi na uhuru wa Warumi ✅ Je, Paulo alizuia wanawake katika huduma milele au ilikuwa kwa muktadha maalum? ✅ Uraia wa Kirumi wa Paulo—ulivyompa haki lakini pia changamoto katika huduma ✅ Mbinu zake za uinjilisti kwa makundi mawili tofauti ✅ Kwa nini mafundisho yake yamekuwa na mvutano hadi leo?Jiunge nasi kwa mjadala huu wa kina!#MafundishoYaPaulo #WanawakeKatikaHuduma #UkristoNaTamaduni #MwiliWaKristo
11 episodios disponibles

Latest episodes of the podcast MAFUNDISHO YA MTUME PAULO