Kupokea Sehemu ya Roho Aliyonayo Mtumishi wa Mungu - Nabii Analyse Ichwekeleza

03/06/2024 1h 14min
Kupokea Sehemu ya Roho Aliyonayo Mtumishi wa Mungu - Nabii Analyse Ichwekeleza

Listen "Kupokea Sehemu ya Roho Aliyonayo Mtumishi wa Mungu - Nabii Analyse Ichwekeleza"

Episode Synopsis

.2 Wafalme 2 : 1 - 18Elia akamwambia Elisha, “Niambie unalotaka nikufanyie kabla sijaondolewa kwako.” Elisha akamwambia, “Naomba sehemu maradufu ya roho yako.” Elia akajibu, “Ombi lako ni gumu, hata hivyo utakipokea kipawa changu hicho ikiwa utaniona wakati nitakapoondolewa kwako; lakini usiponiona, basi hutapewa.” Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.