Jifunze nyenzo ya sayansi ya mapishi. Utapata Elimu ya magonjwa yasiyo ambukiza,Elimu ya magonjwa ya homoni,elimu ya lishe,kanuni za mapishi na Kanuni za Kula ulichopika. Kiujumla utajitibia Magonjwa ya lishe na Homoni kwa kutumia Chakula unachopika wewe mwenyewe jikoni.
Latest episodes of the podcast Dr Boaz Mkumbo
- Magonjwa ya mzunguko wa hedhi
- Tiba ya vidonda vya tumbo
- Jinsi ya Kuimarisha Afya
- Mbinu ya Kumaliza Mwaka
- Jinsi ya kuongeza kipato- Kuwa wakala wa bidhaa zetu
- Dalili za Mzio Sugu
- Suluhisho la maumivu ya Hedhi
- Mbinu za Kupunguza Kitambi
- Kwanini Unapata Maumivu ya Mifupa na Joint
- Chakula kinavyokinga magonjwa
- karibu kupata bidhaa za lishe
- Jinsi ya Kupata Ngozi Ya Ujana
- Suluhisho la Gesi, Kiungulia na Choo kigumu
- Jinsi ya Kupata Ladha Nzuri Kwenye Vitafunwa
- Jinsi Chakula Kinavyosadia Kukinga Magonjwa
- Matibabu ya Joint na Mifupa
- Kuimarisha Mishipa ya Damu na Moyo
- Weka oda ya vitafunwa. 0767030160
- Jinsi Thyreoid Inavyoathiri Uzazi
- Matibabu ya Pumu ya Kifua na Pumu ya Ngozi
- Faida za Magnesium Mwilini
- Tiba ya Ugonjwa wa Goita
- Uhusiano Kati ya Uzito Mkubwa na Kisukari
- Suluhisho la Mzio Sugu
- Muluhisho la Magonjwa ya Mishipa ya Damu
- Sababu za Hedhi Kukoma Mapema
- Faida za Kufanya Mazoezi
- Tiba ya Ugumba kwa Mwanaume na Mwanamke
- Lishe ya Mgonjwa wa Kisukari
- Tiba ya Vidonda vya Tumbo, Choo Kigumu, Gesi na Kiungulia.
- Tiba ya Ugumba
- Madhara ya Kula Chips,
- Ugonjwa wa Shinikizo la Damu. Sehemu ya 2
- Ugonjwa Wa Shinikizo La Damu. Sehemu ya 1
- Jinsi Ya Kulinda Ovari Ili Uweze Kubeba Mimba
- Umuhimu wa Get Fine Premium Collagen
- Matibabu ya mafua sugu,
- Tumia Collagen kwa afya ya nywele zako
- Umuhimu wakirutubisho cha Collagen mwilini.
- Ondoa sumu mwilini kupona mafua makali, maumivu ya viungo
- Offer za msimu wa sabasaba
- Jinsi ya kuongeza uzito.
- Matibabu ya mgonjwa wa lishe
- Uhusiano kati ya umri wa ovari na kubeba mimba
- Msaada wa kukata uteja wa vinywaji vya sukari
- Kitambi kinavyomaliza hela
- Mafunzo ya kudhibiti Kisukari
- Njia ya kuepuka maumivu ya hedhi
- Dalili za mvurugiko wa homoni
- Jinsi ya Kudhibiti ugonjwa wa Kisukari
- Mbinu za mgonjwa wa kisukari kufunga
- Uhusiano kati ya kisukari na Nguvu za kiume
- Kisukari wakati wa mimba. Jinsi ya kujikinga mama mjamzito.
- Jinsi ya kupunguza uzito kwa mwanamke
- Bidhaa zitakazokusaidia kupunguza uzito
- Madhara ya kitambi. Uvimbe kwenye kizazi, upungufu nguvu za kiume
- Suluhisho la ugumba, maumivu ya hedhi na magonjwa ya uzazi
- Sababu ya magonjwa ya uzazi, ugumba, uvimbe kwenye kizazi
- Chanzo cha uvimbe kwenye kizazi
- Jinsi ya kutibu mfumo wa chakula
- Mambo ya Kuepuka Kutibu Gesi, Kiungulia Na Choo kigumu
- Faida za Mazoezi
- Tatizo la homoni ya prolactin kupanda
- Acha vyakula hivi kwa Mama anayetafuta mtoto.
- Maziwa gani salama kiafya, maziwa ya kienyeji au maziwa ya kisasa
- Ipi nyama salama kiafya. Nyama Nyekundu au Nyama Nyeupe??
- Maswali na majibu. Madhara ya juisi mwilini.
- Matibabu ya presha ya kupanda.
- Dhibiti uvimbe kwenye kizazi
- Mazoea yanayoathiri afya yako
- Madhara ya mafuta ya mbegu mwilini
- Ushuhuda. Harusi iliyozingatia sayansi ya mapishi
- Jinsi ya kutibu tatizo la kukosa hamu ya tendo la ndoa
- Njia za kujikinga na magonjwa sugu.
- Kiungo salama chai
- Dalili za utumbo kuvimba
- Madhara ya Pombe mwilini
- Suluhisho la kitambi
- Changamoto za kuondoa kitambi
- Dalili za hatari kuwa unaugonjwa wa kisukari
- Mlo sahihi kwa mgonjwa wa kisukari
- Mboga za majani zitakazokusaidia kupunguza uzito
- Uji Rafiki kwa Mgonjwa wa Kisukari, Presha na Kitambi
- Njia saba za kurudisha nguvu za kiume
- Upungufu wa Vitamin D. Mifupa Kudhoofika, kupasua au kuuma
- Kwanini Kisukari Sio Ugonjwa wa Milele Unadhibitika
- Bites for diabetic people and for good diet
- Jinsi ya kutibu gesi, kiungulia n.k nyumbani
- Madhara ya kula keki
- Mambo yanayosababisha kisukari
- Unga wa kutumia mtu mwenye kisukari, sshinikizo la damu n.k
- Tiba ya vidonda vya tumbo
- Mafuta mazuri kwa mwenye changamoto katika mfumo wa chakula
- Tiba ya maumivu ya mwili.
- Umuhimu wa Vitamin A, Vitamin D na Vitamin K
- Faida ya kufanya mazoezi kiafya.
- Madhara ya vyakula vya ngano na maharage mwilini.
- Vayakula vya wanga vinavyosababisha kisukari
- Ushuhuda- Amenusurika kukatwa mguu kwasababu ya kisukari
- Jinsi kisukari kinavyowatesa vijana