Chuma Hunoa Chuma.

13/11/2023 19 min

Listen "Chuma Hunoa Chuma."

Episode Synopsis

Chuma Hunoa Chuma, ni ufahamu kutoka kwa Parashah Toldot (wazao), na inaangalia hatua ya werevu ya Rebeka kumweka Yakobo kama mrithi wa baraka ya sehemu mbili kutoka kwa Isaka baba yake katika hatua ya utii na uaminifu ambayo inaashiria umuhimu wa ushirika, jinsi gani na lini. inatumika katika shughuli za kila siku.